CHOMBEZO: HISIA MBAYA sehemu ya 01

CHOMBEZO:BAD FEELINGS (hisia mbaya)
MWANDISHI: FRANK TITUS-MANSHYNE
AGE: 18+



sehemu ya 01:
Tamaa utumwa na hisia,  hisia nazo uongozwa na vijimawazo flani hivi ambavyo vikiamua kukuendesha basi utaenda tu. Watu wengi wanasema akili ya mtu ipo katika ubongo wake,  labda ni kweli na ndio maana hata mawazo utoka uko uko,  hata matendo yote tuyafanyayo ni kutokana na hisia zetu,  lakini utata upo pale tu hisia zikiwa mbaya....
Ni rahisi Sana hisia zako kutamani kuwa na tabia njema,  lakini ni rahisi Sana hisia zako kukufanya uonekane huna tabia njema. Na siku zote majaribu umkuta Yule hasiyeyataka.  Kosa moja goli moja, unatumia kiungo chako mwenyewe kutamani kiungo cha mwenzio,  unatamani kutulia lakini hisia sasa, hisia zako hazitaki.
ILIKUWA Ni katika shule ya mchanganyiko wasichana na wavulana kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita, (KIORORO HIGH SCHOOL). Licha ya shule hiyo kufahamika Sana kitendo kilichopelekea wazazi wengi kupeleka watoto wao,  na wanafunzi wenyewe kuichagua,  lakini matendo yaliyokuwa yanaendelea ilikuwa ni balaa tupu!!
Kama ijulikanavyo, kila shule lazima iwe na wababe wa masomo katika darasa, hivyo ndivyo ilivyokuwa pale kiororo wao walikuwa na wanafunzi wao ambao walikuwa hawakamatiki katika masomo, japhet na Karim, walikuwa vichwa tegemezi kidato cha sita.
ILIKUWA ni muda wa mapumziko ya saa nne,  wanafunzi wengi walikuwa nje,  wapo waliokuwa wakipata chai,  wengine walizunguka zunguka,  na wengine walikaa tu wakizungumza stori zao.
Kati yao kulikuwa na mabinti wawili, dayana na tayana,  mabinti waliopendana,  kila walikokwenda walikuwa pamoja,  walishaambiwa na mabinti wenzao kuwa wanaringa Sana,  waliitwa mapepe,  wasumbufu wa shule na majina mengi tu.
mabinti hao wakiwa wanakunywa chai,  walikuwa na mazungumzo machache;
"Unajua nini dayana,  wasomi wa darasa lazma kieleweke, hasa hasa Yule japhet!!!!"
"utawaweza wale?  watu wenyewe dini na masomo utadhani walizaliwa shuleni,  msikitini au kanisani"
"Hawana lolote,  Mimi ndo tayana"
"ah ah ah sawa, lakini kumbuka wenzio wengi tu wamewashindwa, wanaume gani wachovu wachovu!! "
Hizo ndizo zilikuwa habari na mipango yao ya kila siku kwa mabinti hao wa kidato cha tano.
Japhet yeye kutokana na kuwa mtu wa kusoma Sana,  kanisani Sana walimbatiza majina mengi ikiwemo Baba Mchungaji,  Wakusoma, n.k, wala hakuchukia na upole wake ulimfanya apendwe na kila mtu. alifahamiana na watu wengi kwasabu alitumiwa na wenzie kuwasaidia maswali yaliyowashinda.  Japo alikuwa kidato cha sita,  kuna muda alisaidia hata kuwafundisha kidato cha tano.
Licha ya kujulikana Kama msomi wa darasa na majina mengine,  jina ambalo japhet alikuwa halipendi ni kuitwa "domo zege", "dume suruali" Na majina mengine ya kashfa eti kwasababu tu hakupenda habari za mapenzi.
Kitu kibaya kuliko vyote katika ile shule ni kitendo cha hostel za kiume na kike kukaribiana na kuwa karibu na shule yenyewe,  hostel zilikuwa karibu na madarasa,  na zilijichanganya za kike na za kiume.
Pia japo haikuruhusiwa lakini ilikuwa ni jambo tu la kawaida kwa mabinti kuingia hostel za kiume hata wavulana kuingia hostel za kike kwa sababu mbali mbali japo walifanya hivyo kwa Siri,  maana sheria haikuruhusu...
Basi siku moja japhet akiwa anaelekea hostel kwake midah ya asubuhi Akitokea kanisani,  alikatiza kwenye moja ya hostel ya kike, lakini Mahali alipopita ilikuwa ni karibu na dirisha la chumba cha mabinti wa ile hostel. kwa mbali alisikia sauti za mihemko na vijikelele vya raha, akili ilimwambia apotezee aendelee na safari,  lakini hisia zilikataa, akapunguza mwendo na kusikiliza kwa makini,  akasikia;
"ooh wewe kaaa hivi jamani"
Japhet alishtuka na kusimama, Mapigo ya moyo yakaongeza kasi, hisia ni Kama zilimvuta akatazame kinachoendelea,  na uzuri ni kwamba dirisha lilikuwa wazi,  akaanza kushindana na akili yake kwamba aende au afanyaje,  alitazama huku na uko hakuona mtu... Bado zile kelele zilisikika;
"mmh hapana,  Shetan huyu ananijaribu" Alijisemea
Kwa speed ya haraka akaamua kuondoka hadi chumbani kwake kukwepa lile jaribu..
"we vipi mbona pumzi nyingii? " aliuliza rafiki ake Karim ambae wanakaa chumba kimoja..
"Mmh kaka hapana,  hii shule sasa wamezidi matendo maovu"
"kwanini? "
"si nimepita mpenyoni hapo hostel ya kike,  huwezi amini nimesikia sauti za mambo ya ajabu ajabu"
"mambo gani? "
"nadhani kuna watu wanafanya mapenzi,  mbaya zaidi wameacha dirisha wazi"
"we acha utani? Ina maana wanafanyia huko huko hostel za kike?
"Na Sheria hairuhusu mvulana kwenda kule sasa nashangaa"
"ebu nielekeze vizuri ni wapi nikajihakikishie"
"hapana,  siwezi kukuingiza majaribuni"
Licha ya japheti kukataa kumwambia ni chumba gani,  Karim Hali ya kimwili ilishabadilika,  alihisi kutamani kujionea hayo mambo anayoambiwa,  alishindwa kuvumilia,  akasimama na kutoka nje,  kwa maelezo ya mwanzo ya japhet yalitosha kabisa kumfikisha hadi kwenye lile dirisha.
Karim Baada ya kufika pale dirishani Kama alivyoambiwa,  akaanza kusikia sauti za mtu akilia kimahaba,  akajikuta anameza mate ya uchu,  pole pole akasogea dirishani na kuchungulia,  akajikuta anaganda pale pale,  macho yalimtoka...
"mmh wanasagana? "
Alijisemea Karim baada ya kuwashuhudia mabinti wawili,  sio wengine Bali ni dayana na tayana,  walikuwa watupu Kama walivyozaliwa,  dayana chini na tayana juu ambapo tayana alipitisha mkono na kusugua kule chini kitendo kilichomfanya dayana atoe milio ya furaha...
"ooh daah Hawa madem duuh!! " alijisemea Karim pale dirishani,  sehem za chini za mwili wake zilishasimama.... Kutokana na uchu akajikuta nae anaingiza mkono wake chini kabisa na taratibu akaanza kuziminya kwa kuzisukuma mbele nyuma...
"tayana nakupendaaa!!!" ilikuwa ni sauti kubwa kutoka kwa dayana ni Mara baada ya kufikishwa safari yake.
Shughuli haikuishia hapo,  baada ya dayana ikabidi sasa tayana alale chini alafu dayana aje juu hili amfikishe mwenzie.
Karim bado alikuwa pale dirishani,  alijionea laivu bila chenga,  maumbo matam ya wale mabinti ndiyo yaliyomchanganya Kabisa na kujikuta anatamani yeye ndie angetumika kuwaendesha wale mabinti...
"daah yani sijui nijipeleke tu hata nikabakwe? " alijisemea karim
Sasa wakati tayana akiwa chini ya godoro,  baada ya kutupia jicho dirishani akamuona mtu ,  nae hili asimkimbize Yule mtu ambae aliwaona michezo yao akaamua kujifanya Kama hajaona,  pole pole akamnong'oneza dayana..
"pale dirishani kuna mtu katuona,  sasa Yule tusimuache atatutangaza"
"acha utani?  Kwahiyo tunafanyaje? "
"Fanya chochote hakikisha unamleta ndani"
Basi dayana akageuza makalio yake ya saizi Kati kuelekea dirishani jambo lililomfanya Karim azidishe kusugua maumbile yake hadi alikojoa mkojo aliouhitaji,  lakini alishachelewa,  kumbe wakati akiusikilizia utamu wa mkojo wake,  dayana alishafika dirishani na kufungua dirisha,  akamfuma Karim akijichua, akamshika shati..
"Oh msomi wa darasa!!! kwani vipi unahitaji? Aliuliza dayana lakini Karim alishindwa cha kujibu, alibaki anahema juu juu mkono Wake wa kushoto ndani ya suruali yake iliyoloa maeneo ya mbele.
"ingia mlango uko wazi" aliongea dayana akimwambia Karim ambae Bado alitoa macho.
Nae  Karim baada ya kuambiwa hivo kwakuwa Akili zake zilishapoteana,  haraka haraka, akaingia ndani na kuingia kwenye chumba alichoelekezwa,  baada ya kufika tu ndani akadakwa na kuwekwa kitandani... Akatolewa nguo zote na akabaki Kama alivyo....
"Una muda gani hujafanya? " aliuliza tayana..
"kitambo Sana,  Kama miaka miwili hivi... " alidanganya lakini ukweli ni kwamba hakuwai kushiriki tendo hilo.
"eeh kwani huna dem hapa skuli? "
"Sina,  si unajua maisha yenyewe ya hapa "
"Tatizo umezidisha kusoma soma,  yani wewe na Yule mwenzio mnawaza kusoma tu. Kwahiyo,  sisi wote wawili utatuweza? " aliuliza dayana..
"nyie tu,  Kama vipi tuanze gemu" alijisifia karim
Dayana na tayana wakatazamana na kucheka,  tayana akaenda kufunga mlango na kurudi pale kitandani,  bila kupoteza muda walivamia kwenye Viungo vya karimu na kuanza Kuviweka mdomoni,  walimchangia kumpagawisha kitendo kilichomfanya Karim kuanza kutoa saut za kuweweseka na kurusha miguu....
"We kelele bwana,  yani kidogo tu unalia hivo Kama mtoto,  Je tukianza utakuaje? " Aliongea dayana kwa hasira....

USIKOSE SEHEMU YA PILI....

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TAMTHILIA: CPL (CERTIFIED PERSON OF MY LIFE) sehemu ya 01

TARATIBU ZA UCHUMBA KABLA YA NDOA.