Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2019

TAMTHILIA: CERTIFIED PERSON OF MY LIFE (CPL) SEHEMU YA 2-5

Picha
TAMTHILIA: CERTIFIED PERSON OF MY LIFE (CPL) MWANDISHI: FRANK TITUS -MANSHYNE Episode 02. MARIA: hospitali wanasema ni maumivu ya kichwa yalimzidi. Na inasemekana chanzo ni wewe? FRANK: kwahyo hata wewe maria unaamini mimi ni chanzo? MARIA: sasa chanzo ni nani? lakini ni Kutokana na yale uliyoongea class. FRANK: kwan niliongea vibaya? MARIA: hapana ulikua sawa lakini ndo hivo mtu yupo hospitali…. FRANK: ok fresh, wacha mimi nikale alafu nishachoka nataka nikapumzike hostel. Aliongea frank huku akisimama na kuondoka. MARIA: wewe ina maana huend hospital kumuona? Wewe frank? Mmh makubwa! ************************************************************* Loveness akiwa hospital alitembelewa na marafiki zake pamoja na wanachuo wengine. Baadhi walimletea zawadi kama juice, biscuit na matunda. Aliwashuukuru sana. “Lakin vipi saiz unaendeleaje?” aliuliza issa LOVENESS: kwa sasa naendelea vzr, docta kasema leo naweza kuruhusiwa ISSA: kwan tatizo lilikua nini? LOVENESS: ni kichwa

RIWAYA: KAMA MAMA KAMA MTOTO

Picha
RIWAYA: KAMA MAMA KAMA MTOTO MWANDISHI: FRANK TITUS SEHEMU YA KWANZA: Mama kalolina ni mkazi wa wilaya ya songea, kijiji cha maposeni –peramiho,  yeye ni mjane mwenye mtoto mmoja ambaye ni kalolina, mume wake alifariki miaka mingi iliyopita akimuacha mke na mtoto. Wakati akiishi na mumewe waliishi maisha mazuri mno, kila alichohitaji alikipata kutoka kwa mume wake aliyekuwa mwalimu wa sekondari. Mara baada ya mume wake kufariki hapo ndipo tabu zilipoanza, walifukuzwa nyumba ya shule waliyokuwa wakiishi, ilibidi yeye na mwanae wapange chumba kimoja. Mbaya zaidi hata mirathi aliyotegemea kuipata kwenye kifo cha mumewe aliambulia fedha kiduchu kutokana na dhuruma za ndugu na wafanyakazi baadhi walioshiriki kula pesa za mirathi. Maneno maneno yakaanza mtaani, wapo waliosikika wakimsema “ooh amekwisha huyo, alitusumbua sana enzi zake na mumewe, hakujua kuwa mbio za sakafuni uishia ukingoni, tutaona sasa kama maisha hayatomshinda” Pesa hizo kiduchu alizozipata kwenye mirathi ali